KAMA HUKO MWANZA - ROCK CITY HIZI NI SEHEMU KALI UNAZOWEZA KUPATA PAMBA KALI KWA SIKU YAKO YA LEO

KAMA HUKO MWANZA - ROCK CITY HIZI NI SEHEMU KALI UNAZOWEZA KUPATA PAMBA KALI KWA SIKU YAKO YA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSxNjGdpXK3V8KfxEdL05sQzkt9SBYpviES5HlWkPy4DSErylegh_h_S9wEnRXCyboiY0Hf7VsjKdzmOJX-eYkFwsv9_9txThG0dA_WpWuhEmyflqI5ua9WeyUHBknnQGu3MktNjs_nLGA/s72-c/maxresdefault.jpg
Unaionaje siku yako ya leo. kupitia www.madukayakijanja.blogspot.com leo tunakusanua hiki cha kijanja zaidi kama huko ndani ya Mwanza Rock city ama pembeni mwa mji na unategemea kuingia ndani ya Jiji hili la miamba kwa ajili ya kufanya shopping yako yako leo basi tunakusanua na sehemu hizi kali kwa ajili ya mahitaji yako ya viwalo vikali:
Unaweza kufika maeneo ya Dampo kuanzia kituo cha daladala cha darajani basi hapo ni sehemu yako ya kuchagua duka lolote kali la nguo na kufanya shopping yako unaanzia eneo la darajani mpaka kituo kikubwa cha daladala yaendayo Nyakato basi utapata maduka mazuri ya nguo na siku yako itakuwa poa.
Maeneo ya SALMA CONE nyuma ya DELUXE HOTEL
Jengo la kibiashara la Afrika masahariki ROCK CITY MALL utapata maduka mazuri ya nguo.
Maduka ya ndani karibu na STAND YA MABASI YA ZAMANI YA TANGANYIKA
Fika maeneo haya uweze kuifanya siku yako kuwa poa kwa mavazi ya kijanja endele kutembelea
www.madukayakijanja.blogspot.com kila siku kujua sehemu nyingi zaidi za kupendeza kwa mavazi ya kijanja:



Related product you might see:

Share this product :

Post a Comment

 
Support : Kwa D pamba kali 0658371000 | Ahmed Ismail | Kwa D pamba kali 0658371000
Copyright © 2011. Vaa upendeze na nguo za kijanja - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Kwa D pamba kali 0658371000
Proudly powered by Blogger